Picha tulizozipata za wanafunzi kutoka chuo cha ST. AUGUSTINO UNIVERSITY OF TANZANIA, Mwanza ( SAUT ) zinatia kichefuchefu na kinyaa.. Eti hawa ndio Viongozi wa Taifa Letu baadae.. Hebu angalia huu uchizi.
Mwanamuziki kutoka Dodoma ambaye pia ni mtayarishaji wa muziki kutoka LONG MILES RECORDS ndani ya Dodoma amerudia wimbo wa linnah uitwao lonely. Akiongea nami amesema wimbo huo ameufanya yeye mwenyewe toka beat mpaka mixing ndani ya Long Miles records na muda si mrefu ataiachia nyimbo hiyo hewani..Namnukuu " Bado namalizia kuitengeneza nyimbo pindi itakapokuwa tayari nitaiachia rasmi"