Double Y kutoka Dodoma arudia wimbo wa Linnah Lonely.

    Mwanamuziki kutoka Dodoma ambaye pia ni mtayarishaji wa muziki kutoka LONG MILES RECORDS ndani ya Dodoma amerudia wimbo wa linnah uitwao lonely. Akiongea nami amesema wimbo huo ameufanya yeye mwenyewe toka beat mpaka mixing ndani ya Long Miles records na muda si mrefu ataiachia nyimbo hiyo hewani..Namnukuu " Bado namalizia kuitengeneza nyimbo pindi itakapokuwa tayari nitaiachia rasmi"

Comments

Popular posts from this blog

Secret Masonic Handshakes, Passwords, Grips And Signs Of Blue Lodge Masonry

ALAMA ZA FREEMASON.