Posts

Showing posts from April, 2017

Mgawanyiko wa hisia kufuatia mashambulio ya Trump dhidi ya Syria

Image
Haki miliki ya picha REUTERS Image caption Kombora kutoka kwenye meli za kijeshi za Marekani katika bahari ya Mediterranea Kumekuwa na shutuma na uungwaji mkono wa makombora iliyofyetuwa Marekani dhidi ya Syria. Inategemea ni upande upi wa mzozo huo mataifa yanaunga mkono. Mataifa yanayo unga waasi wanaopambana na utawala wa rais wa Syria Bashar al Assad, yameunga mkono shambulio hilo. Haki miliki ya picha AFP Image caption Baadhi ya watoto walioathirika na kemikali,Syria Uturuki imepokea vizuri ufyetuaji makombora hayo, wakati afisa wa wizara ya mambo ya nje wa Saudia amemsifu rais Trump kwa ukakamavu wake na Uingereza imejitolea usaidizi kikamilifu. Waziri mkuu wa Israel amesema ujumbe wa wazi umetumwa unaopaswa kusikika sio tu Damascus lakini pia Iran na Korea kaskazini. Kwa upande wake Iran ambayo kama Urusi inaunga mkono serikali ya Syria imeshutumu shambulio hilo. Haki miliki ya picha EPA Image caption Serikali ya Putin anasema kiongozi huyo am

Kendall Jenner Explains Why She Loves Her 'Tits Being Out'

Image
#FreeTheNipple. In a recent interview with  W , model and reality star Kendall Jenner revealed that she believes the Fall 2014 Marc Jacobs show was the breakthrough moment in her career. But rather than feel nervous about walking one of the most coveted runways at New York Fashion Week, she told the publication that she was actually very excited — because her bosom would be on full display in a super sheer top. "I think I wasn't nervous 'cause I was wearing flats — I was like, 'I can't fall, there's no way I can fall,'" she said. "And then my tits were out. I don't know why I wasn't nervous about that." "I was really excited about my tits being out, actually," she continued. "I'm weird, I love my tits being out. It's like one of my things, I guess. I'm young! When I'm older, I want to be able to look at it and be like, 'I looked good!'" &q

Kendall Jenner Is Reportedly "Devastated" Over the Pulled Pepsi Ad

Image
The model has deleted all her promotion of it from her social media Earlier this afternoon,  Pepsi pulled its controversial new commercial starring Kendall Jenner , where the model joins a protest and hands a cop a peace-making Pepsi—a particularly tone-deaf way of addressing current issues of police brutality and political unrest. The company apologized in its statement, saying, "we did not intend to make light of any serious issue. We are removing the content and halting any further rollout. We also apologize for putting Kendall Jenner in this position." Jenner has not yet spoken about Pepsi's decision or the ad's backlash, though she did remove the tweets she posted yesterday promoting it, along with the Instagram of her behind the scenes. And,   ET Online reports a source familiar with Jenner's Pepsi deal   says Jenner is "devastated" by the backlash. "This is the first controversial campaign she has been

Rais wa zamani wa Argentina Cristina Fernandez amefunguliwa mashtaka mapya ya ubadhirifu wa pesa

Image
Hivi ni viunganisho vya nje na vitafungua katika dirisha mpya Mshirikishe mwenzako Haki miliki ya picha GETTY IMAGES Image caption Rais wa zamani wa Argentina Cristina Fernandez amenguliwa mashtaka mapya ya ubadhirifu wa pesa Jaji mmoja nchini Argentina amemfungulia aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Cristina Fernandez de Kirchner na wanawe wawili mashtaka ya ubadhirifu wa fedha, na ufisadi. Washiriki wake Fernandez wawili wa kibiashara pia wametajwa katika kesi hiyo na wote watano wamezuiliwa kuondoka Argentina. Fernandez, mwenye umri wa miaka 64 tayari anakumbwa na mashtaka mengine ikiwemo kutumia pesa za serikali kiholela. Amekanusha madai haya akisema kuwa ni vita vya kisiasa. Katika taarifa siku ya Jumanne, maafisa walisema hakimu wa mahakama kuu Claudio Bonadio aliwasilisha rasmi ombi la kumfungulia Fernandes mashtka ya ubadhirifu wa fedha. Mwanawe wa kike, Florencia, na wa kiume, Maximo pamoja na wanabiashara Christobal Lopez na Lazaro Baez pia wames