MADAKTARI WAMJIBU KIBONDE WA CLOUDS FM
Ephraimu kibonde hii ndiyo shukrani yako kwa madr Nakumbuka sana mwaka 2007 , ukiwa hoi bin taabani wewe na mkeo namna madaktari walikuwa wanakuhudumia kwa huruma bila kukata tamaa! wakati we na mkeo mkiwa mmekata tamaa kabisa ya kuishi lakini madaktari wale walipigana kufa kuokoa maisha yako kimwili na kisaikolojia! wakati huo ulikuwa huwezi hata kutembea ukiwa umenyonyoka hadi nywele, tena siku moja daktari mmoja alisaidia kukubeba kutoka juu kukupandisha kitandani huku ukitoa udenda kwa udhoofu, daktari yule hakujali hali hiyo mbaya uliyokuwa nayo kwani alikubeba bila hata kuvaa gloves wakati nesi aliyekuwa anakuhudumia alipokuwa akihangaika kutafuta gloves ili aweze kukubeba, unajua ni kiasi gani daktari yule alirisk maisha yake ?? ungeweza kumuambukiza ugonjwa wako lakini alisahau hilo kwa huruma yake na kukuhudumia kwa roho moja. jitihada hizo hatimae ziliza matunda na maisha yako yaliokolewa!! sasa wewe kibonde ni fadhila gani kubwa sana au ni kiasi gani c...