Posts

Showing posts from May, 2012

Freemason symbols provide a visual means of attaining the beginnings of Masonic Education

Image
Masonic Lodge Symbols Education Freemason Symbols: Masonic symbology has come down to us from the cuneiform scripts of the ancient Sumerians, circa 3000 B.C.. as well as the ancient Mesopotamians and Persians. Cuneiform writing was a series of pictographs (symbols) which were drawn on clay tablets with a blunt reed (or stylus). Masonic scholars, today, question the origin of the Point within the Circle, whose parallel upright lines on both sides of the circle, closely resemble an Egyptian hieroglyphic (circa 1570–1342 B.C. ). Is it one of the first Freemason symbols? It is not known; however this information creates questions in scholarly circles. Did Freemasonry begin long before King Solomon's temple was built (circa 953 B.C.)? Did it begin with the operative stone mason guilds during the Middle Ages? (between 500 A.D. and 1500 A.D.) Did it begin in Scotland near the time of Robert the Bruce (1274 - 1329)? These questions are a subject of much debate ...

Secret Masonic Handshakes, Passwords, Grips And Signs Of Blue Lodge Masonry

Image
DUEGARD OF AN ENTERED APPRENTICE The Duegard of an Entered Apprentice represents the position of the hand when taking the oath of an Entered Apprentice, "my left hand supporting the Bible and my right hand resting thereon."   SIGN OF AN ENTERED APPRENTICE The sign of the Entered Apprentice alludes to the penalty of the Entered Apprentice's obligation. The sign is made by drawing the right hand rapidly across the neck as shown on the left. The penalty that the sign alludes to is, "having my throat cut across, my tongue torn out by its roots, and my body buried in the rough sands of the sea at low water mar k , where the tide ebbs and flows twice in twenty-four hours, should I ever knowingly violate this my Entered Apprentice obligation." Explanation of the Entered Apprentice sign : Draw the right hand rapidly across the neck as represented and drop the arm to the side. This action shows the penalty of ...

OMBI LA LULU LAKATALIWA

Image
Msanii wa filamu za maigizo nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu’, leo amepandishwa tena kizimbani mara ya tatu katika kesi ya mauaji ya Kanumba inayomkabili ambapo mawakili wanaomtetea wakiongozwa na Kennedy Fungamtama waliwasilisha ombi la kurekebisha umri wa mshitakiwa huyo kuwa miaka 17 na si 18 kama ilivyowasilishwa mahakamani hapo. Fungamtama na jopo lake walisema mteja wao ni mtoto mdogo hivyo kesi hiyo ipelekwe mahakama ya watoto na kuwasilisha cheti kinachoonesha ana umri wa miaka 17. Upande wa mashitaka umetupilia mbali ombi hilo na kudai cheti kilichowasilishwa kina mapungufu kadhaa likiwemo jina la Dyana ambalo halijawahi kusikika likitumiwa na mshitakiwa huyo.

To the Ministers-Nothing to Celebrate, go to work - Zito kabwe

Image
Mawaziri, hakuna sherehe, nendeni mkawajibike! Rais Jakaya Kikwete akitangaza Baraza jipya la Mawaziri, Ikulu jana. Juhudi za kurejesha misingi ya uwajibikaji katika utumishi wa umma zimeanza kuzaa matunda Baada ya Rais kutekeleza shinikizo la Bunge la kuwafukuza kazi baadhi ya Mawaziri ambao Wizara zao zimetuhumiwa kwa ubadhirifu wa fedha za umma, rushwa na utendaji mbovu. Mawaziri 6 wamefukuzwa kazi baada ya kugoma kujiuzulu wao wenyewe, manaibu Waziri 2 wamefukuzwa pia. Ndugu George Mkuchika alitakiwa kujiuzulu, akajiuzulu lakini Rais amemrudisha kwenye Baraza kama Waziri wa Utawala Bora. Yeye nampongeza kwani hakuwa na makuu ya kuanza kujitetea kama wengine. Atakuwa ametoa funzo kwa wenzake. Kwa kawaida wateule hufanya sherehe kwa kuteuliwa kwao. Nitawashangaa watakaofanya sherehe safari hii kwani hakuna cha kufurahia. Nitawashangaa Watakaokwenda kuapa na Maua kwa furaha kwani furaha itakuwa ya muda mfupi tu. Mkutano wa Bunge wa Bajeti ni mwezi ujao tu na ...

Afande Sele azungumza na wananchi juu ya hali ngumu ya maisha ya Mtanzania.

Image
                                     " Nimetoka Lindi nipo Mtwara, ila humo kote Kilio hali ngum bora jana, Hii yote pamoja na imani kubwa ya wananchi wakati anaingia madarakani! Lakini kaangushwa na watendaji wake kiasi cha kuvunja baraza la mawaziri mara mbili, SOCRATES mwanafalsafa wa kigiriki aliwahi sema "IF RAPING IZ INAVITABLE LAY DOWN FOR ENJOYMENT" akiwa na maana "KAMA HUWEZI KUZUIA KUBAKWA BASI LALA CHINI KWA STAREHE", Ushauri wangu mimi kama MFALME ingawa katika afrika vyama vya upinzani vinaonekana kama maadui wa watawala, Lakini kulinda imani waliyokua nayo watanzania kwako wewe, katika baraza lako la mawaziri bora uheshim falsafa ya Socrates, na Hao wapinzani unaoona maadui kwako muda ndio wa wakuwashirikisha kwenye baraza lako la mawaziri, Hata wahenga walisema MCHAWI MPE MTOTO ALE...