Afande Sele azungumza na wananchi juu ya hali ngumu ya maisha ya Mtanzania.
" Nimetoka Lindi nipo Mtwara, ila humo kote Kilio hali ngum bora jana, Hii yote pamoja na imani kubwa ya wananchi wakati anaingia madarakani! Lakini kaangushwa na watendaji wake kiasi cha kuvunja baraza la mawaziri mara mbili, SOCRATES mwanafalsafa wa kigiriki aliwahi sema "IF RAPING IZ INAVITABLE LAY DOWN FOR ENJOYMENT" akiwa na maana "KAMA HUWEZI KUZUIA KUBAKWA BASI LALA CHINI KWA STAREHE", Ushauri wangu mimi kama MFALME ingawa katika afrika vyama vya upinzani vinaonekana kama maadui wa watawala, Lakini kulinda imani waliyokua nayo watanzania kwako wewe, katika baraza lako la mawaziri bora uheshim falsafa ya Socrates, na Hao wapinzani unaoona maadui kwako muda ndio wa wakuwashirikisha kwenye baraza lako la mawaziri, Hata wahenga walisema MCHAWI MPE MTOTO ALEE. TAFAKARI MTANZANIA "
Comments