Hatimaye Thomas Ulimwengu apata timu ulaya.


MSHAMBULIAJI wa Tanzania  Thomas Ulimwengu  amesajiliwa na  timu ya Ligi Daraja la KwanzaNchini Sweden inaitwa Athletic Football Club Eskilstuna kwa mkataba miaka miwili
Baada ya mkataba wake ulimalizika, Ulimwengu  hakutaka kuongeza mkataba mwingine na kusema male go yake ni kutaka kucheza Ulaya.
Akizungumza kwa njia ya simu Ulimwengu alisema: “Kweli nimesajiliwa kwa mkataba wa miaka miwili kuitumikia timu hiyo ambacho nitajiunga nayo hivi karibuni.
“Kwa sasa nashughulikia mambo ya visa kuanzia wiki ijayo  nitaenda nimeshajiunga na timu ya Athletic Football Club Eskilstuna  ya Sweden.”
Ligi hiyo ya daraja la Kwanza inashirikisha timu kumi na nne na inatarajia kutumia vumbi April kumi na nne mwaka huu

Comments

Popular posts from this blog

Secret Masonic Handshakes, Passwords, Grips And Signs Of Blue Lodge Masonry

ALAMA ZA FREEMASON.