MKUU WA MAGEREZA GAMBIA AKAMATWA WAKATI AKIJARIBU KUTOROKA .

Jeshi la Polisi nchini Senegal limemkamata mkuu wa magereza nchini Gambia, Jenerali Bora Colley akijaribu kutoroka kuelekea Guinea Bissau.


Jenerali Bora Colley alikamatwa siku ya Jumatano na baadaye kukabidhiwa jeshi la Senegal, taarifa hizo zikitolewa na jeshi la Polisi. Aidha, Watu wa haki za kibinaadamu Gambia wamesema kuwa kiwango kikubwa cha ukandamizi kilifanywa chini ya uongozi wa aliyekuwa rais wa taifa hilo, Yahya Jammeh ikiwemo mateso pamoja na mauaji ya kiholela ambayo yalifanyika katika jela.

Comments

Popular posts from this blog

Secret Masonic Handshakes, Passwords, Grips And Signs Of Blue Lodge Masonry

ALAMA ZA FREEMASON.